About

Kuhusu Sisi

LEKIMA Microfinance Investment ltd ni kampuni iliyo sajili kwa sheria na kanuni za makampuni Tanzania na kupewa usajili namba 12653. Lengo kuu ni kutoa huduma ya mikopo kwa wafanyabiashara (wajasiriamali),Wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi na wakulima. Tumekua katika sekta hii tangu 2017 na tumesaidia mamia ya watanzania wanaostahili kupata mikopo na wenye mahitaji ya dharura za kifedha. Huduma zetu ni rahisi na bora kwa wahitaji.

Kwa Nini Utuchague sisi?

Lekima Microfinance ni kampuni inayojitolea kutoa huduma za mikopo yenye riba nafuu nchini Tanzania. Kampuni hii imejitolea kuwahudumia watu na biashara ndogo ndogo kwa kutoa suluhisho la kifedha linalofaa.

  • Mkopo wetu ni wa mtu binafsi au kikundi (chaguo la mkopaji)
  • Masharti nafuu na rahisi kwa mkopaji
  • Hakuna kuweka akiba au amana ili kupata mkopo
  • Mkopo unatoka mapemakadri utakavyotimiza vigezo na masharti yaliyowekwa
  • Kiwango cha chini cha mkopo ni Tsh 100,000/= na kiwango cha juu kinategemea dhamana, uwezo, mtaji wa biashara, uaminifu na mazingira

Our Purpose

Business transformation and growth

Our Vision

To be the financial services provider of choice within the country.

Our Mission

To provide unique, excellent, customer driven, accessible financial services, restore customers’ dignity and improve their standard of living

Corporate Values

  • Fairness
  • Integrity
  • Innovation
  • Value
  • Excellence