Karibu Lekima Microfinance

Kwa mikopo ya wajasiriamali, wakulima na wafanyakazi

Aina Ya MIkopo

Kuna aina Sita za mikopo ambazo Lekima Microfinance inatoa, nayo ni

MKOPO WA WAJASIRIAMALI

Mkopo wetu wa Wajasiriamali unalenga Wajasiriamali wadogowadogo na wa kati. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 5,000,000/- kutegemeana na mapato na mzunguko wa biashara yako.

MKOPO WA WAFANYAKAZI

Mkopo wetu wa Wafanyakazi unalenga Wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- na kiwango cha juu kinategemea uwezo wa mkopaji..

MKOPO WA CHAP CHAP

Mkopo wetu wa chap chap unalenga watu wenye uhitaji wa fedha za dharura ambao hawahitaji kusubiria muda na wala hawahitaji kufuata mchakato mrefu wa ukopaji...

MKOPO WA LEKIMA SOKONI

Mkopo wetu wa Lekima sokoni unalenga Wajasiriamali wadogowadogo na wa kati wanaopatikana maeneo ya sokoni tu. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/...

MKOPO WA LEKIMA BODA BODA

Mkopo wetu wa Lekima boda boda unalenga wasafirishaji (bodaboda) wenye pikipiki za mkataba na wamiliki. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/...

MKOPO WA WAKULIMA

Mkopo wetu wa wakulima unalenga wakulima wajasiriamali ambao wana uhitaji wa kifedha na wamekwama katika hatua za kilimo. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/...

Kuhusu Sisi

LEKIMA Microfinance Investment ltd ni kampuni iliyo sajili kwa sheria na kanuni za makampuni Tanzania na kupewa usajili namba 12653. Lengo kuu ni kutoa huduma ya mikopo kwa wafanyabiashara (wajasiriamali),Wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi na wakulima. Tumekua katika sekta hii tangu 2017 na tumesaidia mamia ya watanzania wanaostahili kupata mikopo na wenye mahitaji ya dharura za kifedha. Huduma zetu ni rahisi na bora kwa wahitaji.

Kwa Nini Utuchague sisi?

Lekima Microfinance ni kampuni inayojitolea kutoa huduma za mikopo yenye riba nafuu nchini Tanzania. Kampuni hii imejitolea kuwahudumia watu na biashara ndogo ndogo kwa kutoa suluhisho la kifedha linalofaa.

  • Mkopo wetu ni wa mtu binafsi au kikundi (chaguo la mkopaji)
  • Masharti nafuu na rahisi kwa mkopaji
  • Hakuna kuweka akiba au amana ili kupata mkopo
  • Mkopo unatoka mapemakadri utakavyotimiza vigezo na masharti yaliyowekwa
  • Kiwango cha chini cha mkopo ni Tsh 100,000/= na kiwango cha juu kinategemea dhamana, uwezo, mtaji wa biashara, uaminifu na mazingira

Inavyofanya kazi

Jinsi Lekima Microfinance Inavyofanya Kazi

01

Omba Mkopo

Omba mkopo kupitia Lekima App au kwa kupiga simu kwa maelezo zaidi.

02

Uhakiki wa Maombi

Maafisa wetu walio karibu na wewe watahakiki ombi lako la mkopo na kutembelea eneo lako la makazi na biashara.

03

Idhini ya Mkopo

Baada ya kufanikiwa kuthibitisha maombi, Lekima itaidhinisha mkopo na kutoa masharti rasmi kwa mteja

04

Kutoa Mkopo

Baada ya kukamilika kwa taratibu zote, utapatiwa mkopo wako kwa njia ya simu au kupitia benki.

05

Kulipa mkopo

Mteja utalipa mkopo kadiri ya makubaliano yako na Lekima kama ilivyoainishwa katika mkataba wako.

Malipo yote ya marejesho yafanyike kwa nji ya kidijitali. (Epuka kutoa pesa taslimu kwa wafanyakazi/maafisa wa Lekima).

06

Mawasiliano na huduma kwa Wateja

Lekima tutaendelea kuwa na mawasiliano nawe mteja wetu kukupatia taarifa za mara kwa mara, na kutoa msaada wowote utakaohitajika haraka iwezekanavyo..

07

Mawasiliano Yetu Rasmi

Namba zifuatazo ni rasmi kwa mawasiliano na Lekima. +255 754 24 00 19

MASWALI YA MARA KWA MARA

Ni thamani za ndani kama vile TV, FRIJI, hati miliki ya nyumba, shamba au kiwanja, kadi ya gari/pikipiki n.k. Unawezapiga simu kituo cha huduma kwa wateja no. 0754240019 kwa maelezo zaidi.
Inategemea kiasi cha mkopo na aina ya mkopo uliochukua
Ndio, Utapatiwa mkopo popote ulipo, maafisa wetu watakufuata popote ulipo na pia unawezafika ofisi zetu zilizo karibu na wewe au piga simu kituo cha huduma kwa wateja no. 0754240019 kwa maelezo zaidi.

Tunatoa mikopo yenye riba nafuu, ikilenga kutoa suluhisho la kifedha bila kuwalemea wateja wetu