Service

Aina Ya MIkopo

Kuna aina Sita za mikopo ambazo Lekima Microfinance inatoa, nayo ni

MKOPO WA WAJASIRIAMALI

Mkopo wetu wa Wajasiriamali unalenga Wajasiriamali wadogowadogo na wa kati. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 5,000,000/- kutegemeana na mapato na mzunguko wa biashara yako.

MKOPO WA WAFANYAKAZI

Mkopo wetu wa Wafanyakazi unalenga Wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- na kiwango cha juu kinategemea uwezo wa mkopaji..

MKOPO WA CHAP CHAP

Mkopo wetu wa chap chap unalenga watu wenye uhitaji wa fedha za dharura ambao hawahitaji kusubiria muda na wala hawahitaji kufuata mchakato mrefu wa ukopaji...

MKOPO WA LEKIMA SOKONI

Mkopo wetu wa Lekima sokoni unalenga Wajasiriamali wadogowadogo na wa kati wanaopatikana maeneo ya sokoni tu. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/...

MKOPO WA LEKIMA BODA BODA

Mkopo wetu wa Lekima boda boda unalenga wasafirishaji (bodaboda) wenye pikipiki za mkataba na wamiliki. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/...

MKOPO WA WAKULIMA

Mkopo wetu wa wakulima unalenga wakulima wajasiriamali ambao wana uhitaji wa kifedha na wamekwama katika hatua za kilimo. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/...