MKOPO WA LEKIMA BODA BODA

Mkopo wetu wa Lekima boda boda unalenga wasafirishaji (bodaboda) wenye pikipiki za mkataba na wamiliki. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/- kutegemeana na mapato na mzunguko wa biashara yako. Afisa mkopo atakutembelea na kufanya tathmini ya biashara yako na kushauriana dhidi ya kiwango unachohitaji.

Vigezo na mahitaji ya mkopo wa Lekima boda boda

  1. Nakala ya kitambulisho cha kura,Taifa cha mkopaji
  2. Nakala ya kitambulisho cha kura,taifa cha mtoa ridhaa na mdhamini mmoja ambaye ni bodaboda mwenza/jirani kijiweni
  3. Picha mbili za passport size za rangi -Mkopaji
  4. Picha mbili za passport size za rangi -Mdhamini/bodaboda mwenza
  5. Picha mbili za passport size za rangi -Mtoa ridhaa