MKOPO WA LEKIMA SOKONI

Mkopo wetu wa Lekima sokoni unalenga Wajasiriamali wadogowadogo na wa kati wanaopatikana maeneo ya sokoni tu. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 1,000,000/- kutegemeana na mapato na mzunguko wa biashara yako. Afisa mkopo atakutembelea na kufanya tathmini ya biashara yako na kushauriana dhidi ya kiwango unachohitaji.

Vigezo na mahitaji ya mkopo wa Lekima sokoni

  1. Nakala ya kitambulisho cha kura,Taifa ya mkopaji.
  2. Nakala ya kitambulisho cha kura,taifa cha mtoa ridhaa na mdhamini mmoja ambaye ni mfanyabishara mwenza/jirani sokoni
  3. Picha mbili za passport size za rangi -Mkopaji
  4. Picha mbili za passport size za rangi -Mdhamini/mjasiriamali mwenza
  5. Picha mbili za passport size za rangi -Mtoa ridhaa
  6. Barua ya utambulisho/uthibitisho wa makaazi kutoka serikali za mitaa
  7. Maekekezo mengine utakayopewa