MKOPO WA WAFANYAKAZI

Mkopo wetu wa Wafanyakazi unalenga Wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- na kiwango cha juu kinategemea uwezo wa mkopaji

Vigezo na mahitaji ya mkopo wa Wafanyakazi

  1. Muajiriwa anatakiwa awe na angalau miezi 6 tangu kuajiriwa.
  2. Umri wa kustaafu unatakiwa usiwe chini ya miezi 3 kabla ya tarehe ya kumaliza mkataba wa mkopo
  3. Muda wa mkopo ni kuanzia mwezi 1 mpaka miezi 6
  4. Lekima inaruhusu kudouble au kutoa mkopo juu ya mkopo kwa kuzingatia vigezo na masharti
  5. Kiasi cha mkopo kinaanzia sh 100,000 – hamna kikomo, kiasi kitakua kutokana na uwezo wa mkopaji.
  6. Viambatisho vinavyohitajika ni kitambulisho cha kazi, taifa, barua ya kuthibitishwa kazini/ajira stakabadhi ya miezi miwili ya malipo ya mshahara ya hivi karibuni na picha/passport size 2