MKOPO WA WAJASIRIAMALI

Mkopo wetu wa Wajasiriamali unalenga Wajasiriamali wadogowadogo na wa kati. Kiasi cha mkopo kinaanzia Tshs 100,000/- mpaka Tshs 5,000,000/- kutegemeana na mapato na mzunguko wa biashara yako. Afisa mkopo atakutembelea na kufanya tathmini ya bishara yako na kushauriana dhidi ya kiwango unachohitaji.

Vigezo na mahitaji ya mkopo wa Wajasiriamali:

  1. Nakala ya kitambulisho cha kura,Taifa,hati ya kusafiria au leseni ya gari ya mkopaji
  2. Nakala ya kitambulisho cha kura,taifa,hati ya kusafiria au leseni ya gari ya mkopaji, mtoa ridhaa na mdhamini mmoja
  3. Picha mbili za passport size za rangi -Wadhamini
  4. Barua ya utambulisho/uthibitisho wa makaazi kutoka serikali za mitaa
  5. Maekekezo mengine utakayopewa